Isaya 22:6 Biblia Habari Njema (BHN)

Majeshi ya Elamu, pinde na mishale mikononi,walikuja wamepanda farasi na magari ya vita;nalo jeshi la Kiri lilitayarisha ngao zake.

Isaya 22

Isaya 22:4-16