Isaya 22:14 Biblia Habari Njema (BHN)

Mwenyezi-Mungu wa majeshi alinifunulia haya akisema:“Hakika hawatasamehewa uovu huu,watakufa bila kusamehewa.Mimi Mwenyezi-Mungu wa majeshi nimesema.”

Isaya 22

Isaya 22:4-21