Isaya 19:14 Biblia Habari Njema (BHN)

Mwenyezi-Mungu amewamwagia hali ya vurugu,wakawapotosha Wamisri katika mipango yao yote,wakawa kama mlevi anayeyumbayumba akitapika.

Isaya 19

Isaya 19:9-24