Wakimbizi wa Moabu waishi kwenu,muwe kimbilio lao mbali na mwangamizi.”Mdhalimu atakapokuwa ametoweka,udhalimu utakapokuwa umekoma,na wavamizi kutoweka nchini,