Isaya 13:19 Biblia Habari Njema (BHN)

Babuloni johari ya falme zotena umaarufu wa kiburi cha Wakaldayoutakuwa kama Sodoma na Gomora,wakati Mungu alipoiangamiza.

Isaya 13

Isaya 13:16-22