Hosea 9:3 Biblia Habari Njema (BHN)

Hawatakaa katika nchi ya Mwenyezi-Mungu;naam, watu wa Efraimu watarudi utumwani Misri;watakula vyakula najisi huko Ashuru.

Hosea 9

Hosea 9:1-12