Hosea 5:14-15 Biblia Habari Njema (BHN)

14. Maana mimi nitakuwa kama simba kwa Efraimu,kama mwanasimba kwa watu wa Yuda.Mimi mwenyewe nitawararua na kuondoka,nitawachukua na hakuna atakayewaokoa.

15. Nitarudi mahali pangu na kujitenga naompaka wakiri kosa lao na kunirudia.Taabu zao zitawafundisha wanitafute, wakisema:

Hosea 5