Watarudi na kuishi chini ya ulinzi wangu,watastawi kama bustani nzuri.Watachanua kama mzabibu,harufu yao nzuri kama ya divai ya Lebanoni.