Hosea 12:6-9 Biblia Habari Njema (BHN)

6. Mwenyezi-Mungu, wa majeshi,Mwenyezi-Mungu, ndilo jina lake.Lakini nyinyi mrudieni Mungu wenu.Zingatieni upendo na haki,mtumainieni Mungu wenu daima.

7. “Efraimu ni sawa na mfanyabiasharaatumiaye mizani danganyifu,apendaye kudhulumu watu.

8. Efraimu amesema,‘Mimi ni tajiri!Mimi nimejitajirisha!Hamna ubaya kupata faida.Hata hivyo, hilo si kosa!’”

9. Mwenyezi-Mungu asema, “Mimi ni Mwenyezi-Mungu, Mungu wako;mimi ndimi niliyekutoa nchini Misri!Mimi nitakukalisha tena katika mahema,kama ufanyavyo sasa kwa siku chache tu,wakati wa sikukuu ya vibanda.

Hosea 12