12. Yakobo alikimbia nchi ya Aramuakiwa huko alifanya kazi apate mke,akachunga kondoo ili apate mke.
13. Kwa nabii Mwenyezi-Mungu aliwatoa Waisraeli nchini Misri,na kwa nabii Mungu aliwahifadhi.
14. Waefraimu wamemchukiza Mwenyezi-Mungu sana.Lakini Mwenyezi-Mungu atawalipiza makosa yao,atawaadhibu kwa mambo maovu waliyotenda.