Hesabu 7:41 Biblia Habari Njema (BHN)

na fahali wawili, kondoo madume watano, beberu watano na wanakondoo madume watano wa mwaka mmoja kwa ajili tambiko ya sadaka za amani. Hiyo ndiyo iliyokuwa sadaka ya Shelumieli mwana wa Suri-shadai.

Hesabu 7

Hesabu 7:36-47