Hesabu 4:37 Biblia Habari Njema (BHN)

Hii ndiyo idadi ya watu wa jamaa ya Kohathi, ambao walihudumu katika hema la mkutano, ambao Mose na Aroni waliwahesabu kama Mwenyezi-Mungu alivyomwamuru Mose.

Hesabu 4

Hesabu 4:29-44