16. Eleazari mwana wa kuhani Aroni itampasa kuyatunza mafuta ya taa, ubani wa kunukia, tambiko za nafaka za kila siku, mafuta ya kupaka ili kuweka wakfu na kila kitu kilichowekwa wakfu katika hema hilo.”
17. Kisha Mwenyezi-Mungu akawaambia Mose na Aroni,
18. “Msiache ukoo wa familia za Kohathi miongoni mwa Walawi uangamizwe.