26. Kutoka Makelothi, walipiga kambi yao huko Tahathi.
27. Kutoka Tahathi walipiga kambi yao Tera.
28. Kutoka Tera walipiga kambi yao Mithka.
29. Kutoka Mithka, walipiga kambi yao Hashmona.
30. Kutoka Hashmona, walipiga kambi yao Moserothi.
31. Kutoka Moserothi, walipiga kambi yao Bene-yaakani.
32. Kutoka Bene-yaakani, walipiga kambi yao Hor-hagidgadi.
33. Kutoka Hor-hagidgadi, walipiga kambi yao Yot-batha.
34. Kutoka Yot-batha, walipiga kambi yao Abrona.