Hesabu 33:25-28 Biblia Habari Njema (BHN)

25. Kutoka Harada, walipiga kambi yao huko Makelothi.

26. Kutoka Makelothi, walipiga kambi yao huko Tahathi.

27. Kutoka Tahathi walipiga kambi yao Tera.

28. Kutoka Tera walipiga kambi yao Mithka.

Hesabu 33