Hesabu 29:31 Biblia Habari Njema (BHN)

Mtatoa pia beberu mmoja kuwa sadaka ya kuondoa dhambi, pamoja na sadaka yake ya nafaka na sadaka zake za kinywaji.

Hesabu 29

Hesabu 29:28-34