Hesabu 16:26 Biblia Habari Njema (BHN)

Alipofika, akawaambia watu, “Tafadhalini ondokeni kwenye hema za watu hawa waovu na msiguse kitu chao chochote, msije mkaangamizwa pamoja nao kwa sababu ya dhambi zao zote.”

Hesabu 16

Hesabu 16:17-34