Habakuki 3:17 Biblia Habari Njema (BHN)

Hata kama mitini isipochanua maua,wala mizabibu kuzaa zabibu;hata kama mizeituni isipozaa zeituni,na mashamba yasipotoa chakula;hata kama kondoo wakitoweka zizini,na mifugo kukosekana mazizini,

Habakuki 3

Habakuki 3:12-19