Habakuki 2:17 Biblia Habari Njema (BHN)

Maovu uliyoitenda Lebanoni yatakuvamia wewe;uliwaua wanyama, wanyama nao watakutisha.Yote hayo yatakupata wewe,kwa mauaji na dhuluma uliyoitendea dunia,naam, uliyoifanyia miji na wakazi wake wote.

Habakuki 2

Habakuki 2:13-20