Ezra 2:62 Biblia Habari Njema (BHN)

Hao walitafuta orodha yao katika kumbukumbu za koo, lakini hawakuonekana humo. Kwa hiyo hawakuruhusiwa kushika ukuhani kwani walihesabiwa kuwa najisi.

Ezra 2

Ezra 2:61-70