Ezra 2:30-35 Biblia Habari Njema (BHN)

30. wa mji wa Magbishi: 156;

31. wa mji wa Elamu wa pili: 1,254;

32. wa mji wa Harimu: 320;

33. wa mji wa Lodi, Hadidi na wa Ono: 725;

34. wa mji wa Yeriko: 345;

35. wa mji wa Senaa: 3,630.

Ezra 2