Ezra 2:21-27 Biblia Habari Njema (BHN)

21. Watu wa mji wa Bethlehemu: 123;

22. wa mji wa Netofa: 56;

23. wa mji wa Anathothi: 128;

24. wa mji wa Azmawethi: 42;

25. wa mji wa Kiriath-yearimu, wa Kefira na wa Beerothi: 743;

26. wa mji wa Rama na wa Geba: 621;

27. wa mji wa Mikmashi: 122;

Ezra 2