Ezekieli 7:9 Biblia Habari Njema (BHN)

Sitawaachilia wala sitawaonea huruma.Nitawaadhibu kulingana na mienendo yenumaadamu machukizo yapo bado miongoni mwenu.Ndipo mtakapotambua kuwa ni mimi Mwenyezi-Mungu ninayewaangamiza.

Ezekieli 7

Ezekieli 7:2-19