Ezekieli 7:4 Biblia Habari Njema (BHN)

Sitawaachia wala sitawahurumia;nitawaadhibu kulingana na mienendo yenu,maadamu machukizo bado yapo kati yenu.Ndipo mtakapotambua kuwa mimi ni Mwenyezi-Mungu.

Ezekieli 7

Ezekieli 7:1-5