Ezekieli 7:27 Biblia Habari Njema (BHN)

Mfalme ataomboleza,mkuu atakata tamaana watu watatetemeka kwa hofu.Nitawatenda kadiri ya mienendo yao,nitawahukumu kama nilivyowahukumu wengine.Ndipo watakapotambua kuwa mimi ni Mwenyezi-Mungu.”

Ezekieli 7

Ezekieli 7:19-27