Ezekieli 7:2 Biblia Habari Njema (BHN)

“Wewe mtu, waambie wakazi wa nchi ya Israeli kuwa mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nasema hivi:Sasa ni mwisho!Mwisho umeifikia nchi yote kutoka pande zote nne!

Ezekieli 7

Ezekieli 7:1-9