Ezekieli 7:15 Biblia Habari Njema (BHN)

Nje kuna kifo kwa upangana ndani ya mji kuna maradhi mabaya na njaa.Walioko shambani watakufa kwa upanga;walio mjini njaa na maradhi mabaya yatawaangamiza.

Ezekieli 7

Ezekieli 7:11-21