Ezekieli 33:33 Biblia Habari Njema (BHN)

Lakini hayo unayosema yatakapotukia – nayo kweli yatatukia – basi, ndipo watakapotambua kuwa nabii amekuwapo miongoni mwao.”

Ezekieli 33

Ezekieli 33:32-33