Ezekieli 30:6 Biblia Habari Njema (BHN)

“Mimi Mwenyezi-Mungu nasema hivi:Wote wanaoiunga mkono Misri wataangamia,mashujaa wake wenye fahari wataangamizwa,tangu Migdoli mpaka Syene watu watauawa vitani.Mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nimesema.

Ezekieli 30

Ezekieli 30:1-9