Ezekieli 29:5 Biblia Habari Njema (BHN)

Nitakutupa jangwani,wewe na samaki hao wote.Mwili wako utaanguka mbugani;wala hakuna atakayekuokota akuzike.Nimeutoa mwili wakouwe chakula cha wanyama wakali na ndege.

Ezekieli 29

Ezekieli 29:1-13