Ezekieli 28:26 Biblia Habari Njema (BHN)

Watakaa humo salama salimini; watajenga nyumba na kupanda mizabibu. Wataishi bila hofu maana mataifa jirani zao ambayo yaliwaudhi, mimi nitayaadhibu. Hapo watatambua kuwa mimi ni Mwenyezi-Mungu, Mungu wao.”

Ezekieli 28

Ezekieli 28:17-26