Ezekieli 28:23 Biblia Habari Njema (BHN)

Nitakupelekea maradhi mabayana umwagaji damu utafanyika katika barabara zako.Utashambuliwa kwa upanga toka pande zotena watu wako watakaouawa, watakuwa wengi.Ndipo watakapotambua kuwa mimi ni Mwenyezi-Mungu.”

Ezekieli 28

Ezekieli 28:14-26