Ezekieli 28:18 Biblia Habari Njema (BHN)

Kwa wingi wa uhalifu wakona udanganyifu katika biashara yakoulipachafua mahali pako pa ibada;kwa hiyo nilizusha moto kwako, nao ukakuteketeza,nami nikakufanya majivu juu ya nchi,mbele ya wote waliokutazama.

Ezekieli 28

Ezekieli 28:10-24