Ezekieli 28:16 Biblia Habari Njema (BHN)

Ufanisi wa biashara yakoulikujaza dhuluma, ukatenda dhambi.Kwa hiyo nilikufukuza kama kinyaa,mbali na mlima wangu mtakatifu.Na yule malaika aliyekulindaakakufukuzia mbali na vito vinavyometameta.

Ezekieli 28

Ezekieli 28:10-18