Ezekieli 27:7 Biblia Habari Njema (BHN)

Kitani kilichotariziwa kutoka Misrikilikuwa kwa kupamba tanga lakona kwa ajili ya bendera yako.Chandarua chako kilitengenezwakwa rangi ya samawati na urujuanikutoka visiwa vya Elisha.

Ezekieli 27

Ezekieli 27:6-14