Ezekieli 27:16 Biblia Habari Njema (BHN)

Watu wa Edomu walifanya biashara nawe kwa sababu ya wingi wa bidhaa zako. Kwa kupata bidhaa zako walikupa akiki, vitambaa vya urujuani, vitambaa vilivyonakshiwa, kitani safi, matumbawe na yakuti.

Ezekieli 27

Ezekieli 27:12-24