Ezekieli 25:3 Biblia Habari Njema (BHN)

Waambie Waamoni: Sikilizeni neno la Bwana Mwenyezi-Mungu: Nyinyi mlifurahia kuona maskani yangu ikitiwa unajisi, nchi ya Israeli ikiangamizwa na watu wa Yuda wakipelekwa uhamishoni.

Ezekieli 25

Ezekieli 25:1-11