Ezekieli 23:42 Biblia Habari Njema (BHN)

Basi, kukasikika sauti za kundi la watu wasiojali kitu, kundi la wanaume walevi walioletwa kutoka jangwani. Waliwavisha hao wanawake bangili mikononi mwao na taji nzuri vichwani mwao.

Ezekieli 23

Ezekieli 23:36-49