Ezekieli 19:14 Biblia Habari Njema (BHN)

Lakini moto umetoka kwenye shina lake,umeyateketeza matawi na matunda yake.Matawi yake kamwe hayatakuwa na nguvu,wala hayatakuwa fimbo za kifalme.Huo umekuwa wimbo wa maombolezo; ndivyo unavyoimbwa daima.

Ezekieli 19

Ezekieli 19:8-14