Ezekieli 19:12 Biblia Habari Njema (BHN)

Lakini ulingolewa kwa hasiraukatupwa chini ardhini;upepo wa mashariki ukaukausha,matunda yake yakapukutika;matawi yake yenye nguvu yalikaushwa,nao moto ukauteketeza.

Ezekieli 19

Ezekieli 19:4-14