Ezekieli 17:12 Biblia Habari Njema (BHN)

“Sasa waulize hao watu waasi kama wanaelewa maana ya mfano huo. Waambie kuwa, mfalme wa Babuloni alikuja Yerusalemu, akamwondoa mfalme na viongozi wake, akawapeleka Babuloni.

Ezekieli 17

Ezekieli 17:10-15