Amosi 9:11 Biblia Habari Njema (BHN)

“Siku yaja nitakapoisimika nyumba ya Daudi iliyoanguka;nitazitengeneza kuta zake,na kusimika upya magofu yake.Nitaijenga upya kama ilivyokuwa hapo zamani.

Amosi 9

Amosi 9:6-15