3 Yohane 1:13-15 Biblia Habari Njema (BHN)

13. Ninayo bado mengi ya kukuambia, lakini sipendi kuyaandika kwa kalamu na wino.

14. Natumaini kukuona karibuni na hapo tutazungumza ana kwa ana.

15. Nakutakia amani. Rafiki zako wanakusalimu. Wasalimu rafiki zetu wote kila mmoja binafsi.

3 Yohane 1