2 Mambo Ya Nyakati 35:21 Biblia Habari Njema (BHN)

lakini mfalme Neko akamtumia ujumbe usemao: “Vita hivi havikuhusu wewe hata kidogo ewe mfalme wa Yuda. Sikuja kupigana nawe bali dhidi ya maadui zangu, na Mungu ameniamuru niharakishe. Acha basi kumpinga Mungu, ambaye yu upande wangu, la sivyo atakuangamiza.”

2 Mambo Ya Nyakati 35

2 Mambo Ya Nyakati 35:14-25