1 Samueli 30:30-31 Biblia Habari Njema (BHN)

30. wakazi wa Horma, wakazi wa Borashani, wakazi wa Athaki,

31. na wakazi wa Hebroni. Daudi aliwapelekea pia wakazi wa miji yote ambako yeye na watu wake walitembelea.

1 Samueli 30