1 Samueli 25:1 Biblia Habari Njema (BHN)

Sasa, Samueli alifariki; nao Waisraeli wote wakakusanyika ili kumwombolezea. Wakamzika nyumbani kwake huko Rama.Kisha Daudi akaenda zake kwenye nyika za Parani.

1 Samueli 25

1 Samueli 25:1-10