1 Samueli 18:1 Biblia Habari Njema (BHN)

Shauli alipomaliza kuzungumza na Daudi, Yonathani mwana wa Shauli, alivutiwa sana na Daudi, akampenda kwa moyo wake wote kama alivyojipenda yeye mwenyewe.

1 Samueli 18

1 Samueli 18:1-9