31. Gedori, Ahio, Zekeri,
32. na Miklothi baba yake Shimea. Hawa pia waliishi Yerusalemu karibu na watu wengine wa ukoo wao.
33. Neri alimzaa Kishi, Kishi akamzaa Shauli. Shauli alikuwa na wana wanne: Yonathani, Malki-shua, Abinadabu na Eshbaali.
34. Yonathani alimzaa Merib-baali, na Merib-baali akamzaa Mika.
35. Mika alikuwa na wana wanne: Pithoni, Meleki, Terea na Ahazi.