79. Kedemothi pamoja na malisho yake na Mefaathi pamoja na malisho yake.
80. Katika kabila la Gadi walipewa Ramothi katika Gileadi pamoja na malisho yake, Mahanaimu pamoja na malisho yake,
81. Heshboni pamoja na malisho yake na Yazeri pamoja na malisho yake.