1 Mambo Ya Nyakati 29:22 Biblia Habari Njema (BHN)

Basi siku hiyo walikula na kunywa kwa furaha kuu mbele ya Mwenyezi-Mungu.Wakamtawaza Solomoni mwana wa Daudi, mara ya pili. Wakampaka mafuta awe mtawala kwa jina la Mwenyezi-Mungu, na Sadoki awe kuhani.

1 Mambo Ya Nyakati 29

1 Mambo Ya Nyakati 29:17-24